<<
Huduma Kuhusu Bidhaa Elimu & Usalama Viwanda Matawi Pakua Catalogue / Bei
Ingia Jisajili
WhatsApp OMBA QUOTATION
Mtengenezaji Mkuu wa Workwear Tanzania

VAA KWA USALAMA!
VAA KUPENDEZA!

USALAMA WAKO, WAJIBU WETU — DAR ES SALAAM & MWANZA

Umechoka kutafuta workwear ya ubora unaodumu? MSG tunakupa nguo za kazi, uniforms, na PPE zilizo sawa — bei ya moja kwa moja, delivery haraka, na customization kamili.

Made in Tanzania
Saizi S–3XL + Oversize
Delivery Ndani & Nje ya Nchi
OSHA Compliant
Tanzania
Delivery Nationwide
DSM & Mwanza
Bulk Orders
Welcome
Made in Tanzania
100% Local
48hr Production
Fast Turnaround
Custom Branding
Logo & Colours
S–3XL + Oversize
All Sizes
Tunaaminika
TZTanzania
KEKenya
UGUganda
RWRwanda
CDKongo
ZMZambia
KMKomoro
BIBurundi
Kuhusu MSG

SAFARI YETU — KUTOKA CHANGAMOTO HADI UBORA

MSG ni mtengenezaji wa workwear na uniforms, na msambazaji wa PPE — tukihudumia viwanda, makampuni, hospitali, na shule kote Tanzania na Afrika Mashariki.

Mwanzilishi wetu ni mhandisi wa magari aliyekabiliwa na changamoto ya kupata workwear ya usalama yenye ubora na udumavu. Kwa azma ya kubadilisha hili, alianzisha Monsun Specialized Garments — akichanganya ujuzi wa uhandisi na dhamira ya ubora kutengeneza mavazi ya wataalamu katika mazingira magumu.

Leo, MSG imekua zaidi ya workwear — tunatengeneza uniforms za kampuni, shule, hospitali na hoteli, na kusambaza PPE kamili. Tukiunganisha usalama, ubora na mvuto, tunahudumia viwanda na taasisi kote Tanzania na Afrika Mashariki kwa uzalishaji wa ndani unaopunguza gharama.

Vision

Kuwa kinara wa utengenezaji wa workwear na uniforms, na usambazaji wa PPE Afrika Mashariki — kwa ubora, usalama na bei bora.

Mission

Kutengeneza workwear na uniforms bora na kusambaza PPE kamili kwa bei nafuu — tukilinda na kuwawezesha wafanyakazi wa kila tasnia.

Utengenezaji wa Workwear & Uniforms
Tunatengeneza wenyewe hapa Tanzania — uniforms za kampuni, hi-vis, coveralls, medical scrubs, na uniforms za shule.
Usambazaji wa PPE
Helmets, safety boots, gloves, harness, masks, fire extinguishers na vifaa vyote vya usalama kazini.
Branding & Customization
Embroidery, screen printing na heat transfer ya logo na rangi za kampuni yako kwa bidhaa zote.

Maadili Yetu ya Msingi

Bei Nafuu
Mavazi yenye thamani ya kipekee kwa kila bajeti.
Uhakika wa Ubora
Kila bidhaa inakidhi viwango vya juu vya udumavu na utendaji.
Mteja Kwanza
Tunatanguliza mahitaji ya mteja kwa huduma binafsi na suluhisho maalum.
Uadilifu
Tunajenga imani kwa uaminifu, uwazi, na utoaji thabiti.
Uendelevu
Utendaji rafiki kwa mazingira unaonufaisha jamii.
Ubunifu
Maboresho ya kibunifu ili kubaki kinara wa tasnia.
Huduma Zetu

TUNACHOKUPA HAKUNA MWINGINE ANAYETOA

Bidhaa Zetu

PPE & WORKWEAR — LIPA MARA MOJA, LINDA DAIMA

Bonyeza bidhaa yoyote kupitia CRM yetu — ununuzi wa haraka na wa usalama.

Saizi: S hadi 3XL + Oversize · Custom branding · Delivery DSM & Mwanza

Rangi, saizi na branding zinaweza kutengenezwa kulingana na mahitaji yako. Wasiliana nasi kupata sampuli na ushauri wa bure kabla ya oda yako.
Kinga ya Mwili
11 bidhaa
Kinga ya Mwili
Coverall / OverallTSh 57,000
Lab Coat — CottonTSh 47,000
Lab Coat — PolyesterTSh 27,000
Lab Coat — ViscoseTSh 37,000
Rain CoatTSh 20,000
+6 zaidi...
Usalama wa Moto
14 bidhaa
Usalama wa Moto
Fire Extinguisher CO₂ 2KGTSh 130,000
Fire Extinguisher CO₂ 5KGTSh 220,000
Fire Extinguisher Powder 4KGTSh 90,000
Fire Extinguisher Powder 6KGTSh 110,000
Fire Extinguisher Powder 9KGTSh 150,000
+9 zaidi...
Kinga ya Macho & Uso
4 bidhaa
Kinga ya Macho & Uso
Face ShieldTSh 20,000
Safety GlassesTSh 5,000
Safety GogglesTSh 5,000
Safety Goggles VaultexTSh 5,000
Kinga ya Kuanguka
3 bidhaa
Kinga ya Kuanguka
Full Body HarnessTSh 200,000
Safety BeltTSh 80,000
Safety LanyardTSh 50,000
Kinga ya Miguu
5 bidhaa
Kinga ya Miguu
Safety Boot Low CutTSh 50,000
Safety Boot Hi-CutTSh 65,000
Gumboots Steel ToeTSh 35,000
Executive Safety ShoeTSh 70,000
Composite Toe ShoeTSh 75,000
Kinga ya Mikono
7 bidhaa
Kinga ya Mikono
Leather Work GlovesTSh 8,000
Nitrile Disposable GlovesTSh 3,500
Cotton Work GlovesTSh 2,500
Cut-Resistant GlovesTSh 15,000
Chemical PVC GlovesTSh 12,000
+2 zaidi...
Kinga ya Kichwa
6 bidhaa
Kinga ya Kichwa
Hard Hat EN397 — YellowTSh 15,000
Hard Hat EN397 — WhiteTSh 15,000
Hard Hat EN397 — BlueTSh 15,000
Welding Helmet Auto-DarkTSh 85,000
Mining HelmetTSh 35,000
+1 zaidi...
Kinga ya Masikio
3 bidhaa
Kinga ya Masikio
Ear Muffs VaultexTSh 20,000
Ear Muffs StandardTSh 15,000
Foam Ear Plugs (100pcs)TSh 8,000
Kinga ya Kupumua
5 bidhaa
Kinga ya Kupumua
Full Face RespiratorTSh 120,000
Half Face RespiratorTSh 45,000
KN95 Cup MaskTSh 3,500
Dust Mask FFP2TSh 2,500
Filter Cartridge P100TSh 18,000
Vifaa Maalum vya Usalama
8 bidhaa
Vifaa Maalum vya Usalama
FR CoverallTSh 180,000
Hi-Vis Workwear SuitTSh 120,000
Chainsaw TrousersTSh 200,000
FR Lab CoatTSh 95,000
Hi-Vis Executive SetTSh 85,000
+3 zaidi...
Zana & Vifaa vya Usalama
9 bidhaa
Zana & Vifaa vya Usalama
Traffic Safety ConeTSh 15,000
Caution Barrier TapeTSh 5,000
Digital BreathalyserTSh 45,000
LOTO Safety PadlockTSh 8,000
Industrial TorchTSh 25,000
+4 zaidi...
Uniforms
10 bidhaa
Uniforms
Medical Scrubs SetTSh 55,000
Security Uniform SetTSh 95,000
Chef Uniform SetTSh 75,000
Corporate UniformTSh 65,000
Hospitality UniformTSh 60,000
+5 zaidi...
Sare za Shule
5 bidhaa
Sare za Shule
Primary School SetTSh 65,000
Secondary School SetTSh 65,000
Sports KitTSh 45,000
School SweaterTSh 35,000
School BlazerTSh 55,000
Nguo za Kazi
6 bidhaa
Nguo za Kazi
Carpenter OverallTSh 75,000
Industrial CoverallTSh 57,000
Mechanic CoverallTSh 65,000
Workshop OverallTSh 55,000
Safety Suit (Shati+Suruali)TSh 80,000
+1 zaidi...
" "
0
Wateja Waliohudumika
10,000+
Watu Waliovalishwa
2
Matawi — DSM & Mwanza
0
Muda wa Utengenezaji (Masaa)
Elimu na Usalama Kazini

ZIELEWE PPE ZAKO — USALAMA HUANZA NA ELIMU

Kuelewa PPE unayoivaa ni hatua ya kwanza ya usalama. Bonyeza kadi yoyote kujifunza zaidi.

Kofia ya Usalama
Hard Hat / Safety Helmet
Inakinga kichwa dhidi ya vitu vinavyoanguka
Inaelekeza umeme mbali na kichwa
Lazima ibadilishwe kila miaka 3–5
Soma zaidi
Coverall / Overall
Full-Body Protective Suit
Inakinga mwili wote dhidi ya vumbi na kemikali
Polyester, viscose, au cotton — chagua yako
Saizi S hadi 3XL na Oversize
Soma zaidi
Hi-Vis Vest
High-Visibility Safety Vest
Inaonekana vizuri usiku na mchana
Mkanda wa reflective unaakisi mwanga
Normal, Executive, VIP — bei tofauti
Soma zaidi
Safety Boot
Steel-Toe Safety Footwear
Toe cap ya chuma inakinga vidole
Sole inastahimili mafuta na kemikali
Anti-slip kwa sakafu zenye maji
Soma zaidi

Makala za Usalama Kazini

Maarifa ya bure kuhusu usalama, PPE, na sheria za kazi Tanzania.

Sheria & Usalama

OSHA Tanzania: Wajibu wa Mwajiri Kuhusu PPE

Sheria ya OSHA inamlazimisha mwajiri kutoa PPE bila malipo. Tunaeleza haki za mfanyakazi na Certificate of Compliance.

Dakika 4 kusomaSoma zaidi →
Mwongozo wa Ununuzi

Jinsi ya Kuchagua Safety Boots Sahihi

Toe cap, sole, na anti-slip ni muhimu. Tunakuonyesha jinsi ya kuchagua boots zinazolingana na kazi yako.

Dakika 3 kusomaSoma zaidi →
Viwanda & Taasisi

Faida za Uniforms za Kampuni kwa Biashara Yako

Uniforms ni branding, usalama, na taaluma. Tunaeleza faida zake kwa kampuni, shule, hospitali na hoteli.

Dakika 3 kusomaSoma zaidi →
Viwanda Tunavyohudumia

TUNAJUA MAHITAJI YA KILA TASNIA

MSG ina uzoefu wa kutoa suluhisho maalum kwa viwanda tofauti — kila tasnia ina mahitaji yake ya kipekee.

Kwa Nini MSG?

TUNACHOKUPA HAKUNA MWINGINE ANAYETOA!

Tunatengeneza — Sio Kuagiza tu

MSG ina uwezo wa kutengeneza nguo za kazi hapa Tanzania. Bei bora, haraka zaidi, ubora unaodhibitiwa.

Matawi Mawili — DSM & Mwanza

Tunatumikia Tanzania nzima kutoka Kimara–Ubungo (DSM) na Nyanza SC (Mwanza).

Muda Mfupi — Hadi Masaa 48

Stock items: siku 3–7. Custom/branded: siku 10–21. Tunajua thamani ya muda wako.

Branding & Customization Kamili

Logo yako, rangi zako — embroidery, screen printing, heat transfer kwa bidhaa zote.

Bei Wazi na za Ushindani

Orodha ya bei kamili ya bidhaa 87+ inapatikana. Bulk orders zinapata punguzo la ziada.

100% Tanzanian — Kampuni ya Ndani

Wafanyakazi, shareholders, na directors ni Watanzania 100%. Tunajua mahitaji ya Tanzania.

MSG vs Washindani wa Tanzania
KipengeleMSG ✦Wengine
Uzalishaji wa ndani
Tawi Mwanza
Custom branding kamili
Saizi Oversize
CRM self-service portal
Bei wazi (87+ bidhaa)
Delivery Tanzania nzima
100% Tanzanian
VALUE
Bei Zetu vs Soko

MSG INATOA ZAIDI KWA BEI NDOGO

Tunalinganisha bei zetu na bei za wastani za soko Tanzania — na ubora haupunguzwi.

Bidhaa
Wastani wa Soko
MSG
Okoa
Coverall / Overall
TSh 75,000–90,000
TSh 57,000
Hadi 37%
Safety Helmet
TSh 20,000–30,000
TSh 15,000
Hadi 50%
Hi-Vis Vest Executive
TSh 15,000–25,000
TSh 10,000
Hadi 60%
Safety Boots Rocklander
TSh 70,000–90,000
TSh 50,000
Hadi 44%
Medical Scrubs Set
TSh 75,000–100,000
TSh 55,000
Hadi 45%
Security Uniform Set
TSh 130,000–180,000
TSh 95,000
Hadi 47%
Chef Uniform Set
TSh 100,000–140,000
TSh 75,000
Hadi 46%
* Bei za soko ni makadirio ya wastani — zinatofautiana na eneo na muuzaji. Wasiliana na MSG kupata bei halisi.
Kwa Nini MSG ni Bora
Uzalishaji wa Ndani
Tunatengeneza hapa Tanzania — bila middleman, bei zinashuka.
Ubora Unaodhibitiwa
Kila bidhaa inachunguzwa kabla ya kutumwa — bila compromise.
Bulk Discounts
Order zaidi ya TSh 500,000 unapata punguzo la ziada — jaza fomu tuwasiliane.
OSHA Compliant
Bidhaa zetu zinakidhi OSHA Tanzania Cap. 297 — kampuni yako inakuwa compliant.
Matawi Mawili
DSM & Mwanza — tunakupelekea bidhaa popote Tanzania.
Pata Quotation ya Bei Yako →
Wateja Wanasema

IMANI ILIYOJENGWA KWA MATENDO — SIO MANENO

Wanaotuamini kwa SababuKati ya wateja 1,500+ waliotuchagua MSG, hawa ni baadhi tu ya wale walio tayari kututhibitisha— na sasa wanaweza kukuambia kwa ujasiri: “MSG WANAJUA WANACHOFANYA!.”
Swissport TanzaniaSwissport Tanzania
Faisan AggregatesFaisan Aggregates
FasmFasm
Olasiti InvestmentOlasiti Investment
BluebayBluebay
Fighters Electrical GroupFighters Electrical Group
Global Survey CompanyGlobal Survey Company
Jengea KwetuJengea Kwetu
Lake Electrical BiharamuloLake Electrical Biharamulo
Magoda BambuuMagoda Bambuu
PetronitePetronite
Rhome KitchenRhome Kitchen
Sigma Gas and EngineeringSigma Gas and Engineering
Suncom OilSuncom Oil
Takbiir EnterprisesTakbiir Enterprises
Xceed Auto ExpressXceed Auto Express
Swissport TanzaniaSwissport Tanzania
Faisan AggregatesFaisan Aggregates
FasmFasm
Olasiti InvestmentOlasiti Investment
BluebayBluebay
Fighters Electrical GroupFighters Electrical Group
Global Survey CompanyGlobal Survey Company
Jengea KwetuJengea Kwetu
Lake Electrical BiharamuloLake Electrical Biharamulo
Magoda BambuuMagoda Bambuu
PetronitePetronite
Rhome KitchenRhome Kitchen
Sigma Gas and EngineeringSigma Gas and Engineering
Suncom OilSuncom Oil
Takbiir EnterprisesTakbiir Enterprises
Xceed Auto ExpressXceed Auto Express
Wawekezaji

WEKEZA KWENYE SOKO LINALOKUA — WORKWEAR TANZANIA

MSG ni kampuni ya Kitanzania 100% iliyosajiliwa rasmi, inayokua haraka katika soko la PPE na workwear la Afrika Mashariki. Tuna nafasi chache za uwekezaji kwa washirika wa kimkakati.

1,500+
Wateja waliohudumika
10,000+
Watu waliovalishwa
2
Matawi — DSM & Mwanza
87+
Aina za Bidhaa

Soko Linalokua Haraka

Soko la PPE na workwear Afrika Mashariki linakadiriwa kufikia $2.8B ifikapo 2028. Tanzania ina mahitaji makubwa yanayoongezeka kutokana na ujenzi, madini, na sekta ya afya.

Mtengenezaji & Msambazaji

MSG inatengeneza workwear na uniforms wenyewe Tanzania, na kusambaza PPE kamili — uzalishaji wa ndani unaopunguza gharama na kuongeza kasi. Matawi DSM & Mwanza.

Fursa za Uwekezaji

Tunachunguza ushirikiano wa kimkakati kwa ajili ya upanuzi — matawi mapya, uzalishaji mkubwa, na usambazaji wa kikanda. Equity, debt, na strategic partnership zinafaa.

ONGEA NA UONGOZI WA MSG
Tunatafuta washirika wa kimkakati wanaoshiriki maono yetu ya kuifanya MSG kuwa brand kubwa ya workwear Afrika Mashariki.
WhatsApp
Mitandao ya Kijamii

TUPO KIDIGITALI ZAIDI! UNGANA NA WENGINE WENGI UONE TUNACHOFANYA

Tuko live kwenye mitandao yote — angalia kazi zetu za hivi karibuni, elimu, na ofa maalum. Bonyeza ili kufuata.

@monsun_specializedgarments
Instagram · Workwear & PPE Tanzania
Fuata
Bonyeza kuona machapisho ya Instagram
@monsun_specializedgarments
Monsun Specialized Garments
Facebook Page · DSM & Mwanza
Fuata
Bonyeza kuona ukurasa wa Facebook
Monsun Specialized Garments
@monsunspecializedgarment
TikTok · Elimu ya PPE & Kazi
Fuata
Bonyeza kuona TikTok
@monsunspecializedgarment
4.8
★★★★★
Maoni 127 — Google + Wateja
5⭐
84%
4⭐
11%
3⭐
3%
2⭐
1%
1⭐
1%
Toa Maoni Yako

EXPERIENCE YAKO NI MUHIMU KWETU

Umetutembelea au umetumia huduma zetu? Tunaomba tathmini yako juu ya huduma zetu — maoni yako yanasaidia wengine.

Bonyeza nyota kutathmini:
Portal ya Wateja

JIHUDUMIE MWENYEWE — 24/7 BILA KUSUBIRI

crm.msg.co.tz ni portal yako ya kibinafsi. Fuatilia maagizo, angalia ankara, omba quotation — wakati wowote.

Ingia Kujihudumia →

Fuatilia Maagizo

Angalia hali ya agizo lako halisi — muda wote.

Ankara & Historia

Pakua ankara na angalia malipo yaliyopita.

Quotation Online

Jaza fomu ya quotation moja kwa moja. Tunajibu haraka.

Mawasiliano ya Moja kwa Moja

Zungumza na timu ya MSG bila kupoteza historia.

Matawi Yetu

TUKO KARIBU NAWE — DSM & MWANZA

Dar es Salaam
Makao Makuu (Headquarters)
HQ
148148 JP Magufuli Rd, Kampendeza St., Kilungule A, Kimara–Ubungo, DSM 16106
Jumatatu–Ijumaa: 8:00–17:00 | Jumamosi: 8:00–13:00
Mwanza
Tawi la Kanda ya Ziwa
LAKE ZONE
Nyanza Shopping Center, Shop No. 48, Mwanza, Tanzania
Jumatatu–Ijumaa: 8:00–17:00 | Jumamosi: 8:00–13:00
Nyaraka za MSG

PAKUA CATALOGUE NA PRICELIST YETU

Bidhaa 87+ na bei zake — chagua hati unayoitaka upakue bure.

Omba Quotation → WhatsApp
Product Catalogue
Profile & Bidhaa zote za MSG
Orodha ya Bei
Bei za bidhaa 87+ za MSG
Omba Quotation

PATA BEI YAKO KWA DAKIKA 5

Jaza fomu hii kwa maelezo ya oda yako. Timu yetu itawasiliana nawe ndani ya masaa 2 ya kazi na quotation kamili.

Majibu ndani ya masaa 2 ya kazi
Habari zako zinakaa siri
Quotation ni bure kabisa
Agizo la nguo 1 hadi 10,000+
Delivery Tanzania nzima na nje
Au wasiliana moja kwa moja:
📱 +255 710 200 700 (DSM) 📱 +255 710 200 900 (Mwanza) ✉️ sales@msg.co.tz
Tutawasiliana nawe ndani ya masaa 2 ya kazi. Quotation na ushauri ni bure kabisa.
✅ Asante! Ombi lako limepokelewa. Tutawasiliana nawe hivi karibuni.
Bidhaa
Tunatumia cookies kuboresha uzoefu wako. Kwa kukubali, unakubaliana na Sera yetu ya Faragha.

Sera ya Faragha na Cookies — MSG

Monsun Specialized Garments (MSG) inajali faragha yako. Hati hii inaelezea jinsi tunavyokusanya, kutumia, na kulinda taarifa zako.

1. Taarifa Tunazokusanya

Tunakusanya taarifa unazotupa moja kwa moja kwenye fomu yetu (jina, kampuni, simu, barua pepe), na taarifa za kiufundi kuhusu jinsi unavyotumia tovuti yetu (kurasa ulizozitembelea, muda uliokaa, nchi).

2. Jinsi Tunavyotumia Taarifa Zako

Taarifa zako zinatumika: kujibu maombi ya quotation, kuboresha huduma zetu, kutuma ofa maalum (kwa idhini yako tu), na kuboresha uzoefu wa tovuti.

3. Cookies Tunazotumia

Cookies Muhimu
Zinahitajika kwa utendaji wa tovuti
Cookies za Uchambuzi (GA4)
Zinatuwezesha kuelewa jinsi wageni wanavyotumia tovuti — data haiuzwi

4. Haki Zako

Una haki ya: kuomba kufutwa kwa taarifa zako, kuona taarifa tunazoshikilia, na kubadilisha idhini yako wakati wowote kwa kuwasiliana nasi: sales@msg.co.tz

5. Wasiliana Nasi

Monsun Specialized Garments | Kimara Korogwe, Dar es Salaam | sales@msg.co.tz | +255 710 200 700