
1. Toe cap (kinga ya vidole): Boots zenye toe cap ya chuma au composite zinakinga vidole dhidi ya vitu vizito vinavyoanguka. Ni lazima kwa kazi za ujenzi, ghala, na viwanda.
2. Sole (sakafu ya kiatu): Chagua sole inayostahimili mafuta, kemikali, na joto kulingana na kazi yako. Kwa maabara na viwanda vya kemikali, sole ya oil-resistant ni muhimu.
3. Anti-slip: Kwa sakafu zenye maji au mafuta (jikoni, viwanda vya chakula, migodi), boots za anti-slip zinazuia kuteleza na ajali.
4. Faraja na saizi: Boots zinazobana au kulegea husababisha uchovu na majeraha. Hakikisha unapata saizi sahihi — MSG inatoa S hadi 3XL na oversize.
5. Mazingira maalum: Kazi za umeme zinahitaji boots zisizopitisha umeme. Migodi inahitaji boots imara zaidi. Eleza mazingira yako kwa MSG tupate kukushauri sahihi.
MSG ni mzalishaji na muuzaji wa workwear, uniforms na PPE Tanzania. Pata sampuli, ushauri na bei ya jumla.